Makapuku Forum

watu wengi wana ndoto hizo,ishu kuwork on it
Usemayo ni kweli.
Wengi wanatamani kuanzisha biashara/kampuni binafs but wanaogopa kuthubuti. Wanajiuliza cjui itakuwaje mambo yasipoenda ninavyotarajia. Ukithubutu na kukomaa hakika hutojuta.
Huwa nashauri vijana wenzangu kuwa na moyo wa uthubutu na kusimamia MALENGO BILA WOGA.
 
kweli kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…