Mkuu ilikuwa ni kuchemsha jukwaa tu, japo ulifika wakati member wanijia chemba kutaka kujua kama ni kweli mim pastor. Hivyo napotezea hilo kwenda character nyingine[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Umeshuka sana bro
Nakumbuka ulikuwa unajiita......
Ambalo umekataa usiitwe
Sasa apo umerud nyuma hatua kumi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu ilikuwa ni kuchemsha jukwaa tu, japo ulifika wakati member wanijia chemba kutaka kujua kama ni kweli mim pastor. Hivyo napotezea hilo kwenda character nyingine
Teh tehUwe unakuja pm nikutafsirie
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hivyo nusu wasadiki na nusu husadiki uwepo wake?Aaaah
Mi nachambua pande zote
Niko kat kat
Pamoja sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa mkuuu
Haina shda
HahahaHivyo nusu wasadiki na nusu husadiki uwepo wake?
Niko sawa sanaaaMorning
Za kuamka
Na mimi niko fureshiNiko sawa sanaaa
Sijui pande hizo
We ni huyo niliekukalia huoni kuwa nguo ndo hiyo ya kwenye Avatar??Umkosea, mimi mwenye kigauni cha orange[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Litoe mjini shamba lakoHuku kwetu mashamba yameadimika sana mkuu [emoji16] [emoji16]
Mmmh likitokea tu hapa unafuta hizi kauli zoteHiyo ardhi nimeuza kitambo tu.
Natafuta shamba njingine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kweli kabisaWe ni huyo niliekukalia huoni kuwa nguo ndo hiyo ya kwenye Avatar??
Kila mtu anataka pa kutokea hadi ujinga mwingi wafanyikaKwa kweli tamasha sikuliunga mkono kabsa lile
KaribuNipo mkuu..
Mkuu,hiyo avatar yako..[emoji41]hawa wanajifanya wajuaji darasani nje ya darasa weupee peee
Hivi invigilator akikukamata umempa mwenzako ujumbe kama huu anaweza kukuondoeni examination hall?
Hahaha inakusumbua nini mkuu!Mkuu,hiyo avatar yako..[emoji41]
HahahaHivi invigilator akikukamata umempa mwenzako ujumbe kama huu anaweza kukuondoeni examination hall?
Imenipa mtikisiko wa mawazo mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha inakusumbua nini mkuu!