Hilo pozi unaelekezwa na mpiga pichaNimejiona, hahahaaa
HhahahahaMhhh naona unajipigia chapuo kwa lizziebettie
Cc Th Name
Mimi niko poa, vp unaendeleajeAaah
Tumeamka uzurii cjui wewe
Sitaki tena kapuku,[emoji1] [emoji1] [emoji1] nitatafuta mkongwe.Dah we jamaa bana, lakin hawajaisha humu
Aisee fanya mpango utupie mapicha ya pyramidsNzuriiiii
Wikend hii nipo Cairo
Cairo au racairoNzuriiiii
Wikend hii nipo Cairo
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Mkuu vp ndo umekuja na top ten?
Wasalimie sana kina mossiNzuriiiii
Wikend hii nipo Cairo
Hahahaa kila la heri, usisahau kunipatia mrejesho wa majibu yao wakati wa tongozoSitaki tena kapuku,[emoji1] [emoji1] [emoji1] nitatafuta mkongwe.
Brazil au yanga hiyo
Kuna viumbe huwezi ht kuvizaba Kofi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Jimena kapendeza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kapuku dadaz ktk picha ya pamoja
They luk so sexy
Namuona Jimena pale juu
Lizzy pembeni
Amaizing katikati
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
Hahahaha,usiwe na shaka mkuuHahahaa kila la heri, usisahau kunipatia mrejesho wa majibu yao wakati wa tongozo
Habari yako kiongoziMoyo Mashine[emoji445]
Nilizikubali sana top ten za jana, niko mbioni kufanya mchakato wa kutafuta ile namba moja[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Hiii shdaa sasa
SauziBrazil au yanga hiyo
Njema mkuu,za uzima?Habari yako kiongozi
AnhaaaHaha mi nipo kwa Makonda huku mkuu
Swalama kabisa mkuu.Njema mkuu,za uzima?