Makapuku Forum

Asante prezdent
Asanten kwa kumek forum kama hvi tuna enjoy na kushusha stress

And thanks kwa kuipkoea vzuri segment hii
Mkuu naomba usiwe unaniita Presida kuna pipo zinaona gere utafikiri mm najiita hivyo wkt hakuna palipoandikwa RAIS WA MAKAPUKU
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
 
Jaman it was long and tiring sesseion but i hope mme enjoy
Mpake kesho wakt kama huu tena
Ulikuwa nami

Szczesny Carrenza de le Casa de la Fuma
Tchaoooo

Muwe mna enda kanisan mtoe na sadaka

Am sorry gwajima hayupo top ten lakn
Asante sana kaka, japo namba nne haikuwepo lakini nimeinjoyi sana. Ubarikiwe.
 
Sijuhisi kama kwenye yaliyomo yamo huyu nae yumo
 
Hii mambo kumbe inalipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…