Makapuku Forum

Naombeni na mimi kitengo

Maana naona wewe unadili kwenye magaazeti, yule kwenye top ten na bitoz kwenye mpira.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
All in all safi sanaaaa na muendelee hvyo hvyo
Naomba uchukue kitengo cha kutuletea habari na umbea wa kijiwe chako unachokuwepo mda mwingi hata kama ni ofisini.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…