EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2016 #58,581 lukesam said: Milele daima! Click to expand... Mzima wewe?
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 Jun 22, 2016 #58,582 EMMYGUY said: Ni ukweli usiopingika kaka. Click to expand... Tuko pamoja sana ndugu yangu..
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2016 #58,583 shululu said: Pamoja mkuu Click to expand...
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2016 #58,584 manuu said: Tuko pamoja sana ndugu yangu.. Click to expand... Pamoja sana ndugu. Msalimie kaka jambilo
manuu said: Tuko pamoja sana ndugu yangu.. Click to expand... Pamoja sana ndugu. Msalimie kaka jambilo
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Jun 22, 2016 #58,585 Nimepitia post za nyuma na mpaka hapa tulipofikia na kuona Makapuku Forum kwa sasa inapoteza msisimko na sijui ni kwanini? Tujirekebisheni wadau
Nimepitia post za nyuma na mpaka hapa tulipofikia na kuona Makapuku Forum kwa sasa inapoteza msisimko na sijui ni kwanini? Tujirekebisheni wadau
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Jun 22, 2016 #58,586 manuu said: Kabisa kabisa dada angu..Najua husomagi biblia maneno haya utakuwa umeyapata kwenye ile kwaya.. Click to expand... Unadhani mie kama wewe... Au nikupe lingine nini
manuu said: Kabisa kabisa dada angu..Najua husomagi biblia maneno haya utakuwa umeyapata kwenye ile kwaya.. Click to expand... Unadhani mie kama wewe... Au nikupe lingine nini
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2016 #58,587 manuu said: Kabisa kabisa dada angu..Najua husomagi biblia maneno haya utakuwa umeyapata kwenye ile kwaya.. Click to expand...
manuu said: Kabisa kabisa dada angu..Najua husomagi biblia maneno haya utakuwa umeyapata kwenye ile kwaya.. Click to expand...
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2016 #58,588 jonax said: Nimepitia post za nyuma na mpaka hapa tulipofikia na kuona Makapuku Forum kwa sasa inapoteza msisimko na sijui ni kwanini? Tujirekebisheni wadau Click to expand... Asante kwa kuliona hilo. Tunakoelekea si sehemu sahihi kabisa.
jonax said: Nimepitia post za nyuma na mpaka hapa tulipofikia na kuona Makapuku Forum kwa sasa inapoteza msisimko na sijui ni kwanini? Tujirekebisheni wadau Click to expand... Asante kwa kuliona hilo. Tunakoelekea si sehemu sahihi kabisa.
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Jun 22, 2016 #58,589 Valentina said: Unadhani mie kama wewe... Au nikupe lingine nini Click to expand... Hiyo mistari inapatikana katika Zaburi kama sikosei
Valentina said: Unadhani mie kama wewe... Au nikupe lingine nini Click to expand... Hiyo mistari inapatikana katika Zaburi kama sikosei
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 Jun 22, 2016 #58,590 EMMYGUY said: Pamoja sana ndugu. Msalimie kaka jambilo Click to expand... Zimefika mkuu ..
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Jun 22, 2016 #58,591 EMMYGUY said: Asante kwa kuliona hilo. Tunakoelekea si sehemu sahihi kabisa. Click to expand... Jaribu kuchunguza day after day member wanazidi kupungua.. na siyo kwamba ni ubusy wa kazi, Noooo. Hata mm pia ile morali ya mwanzo cna tena why......??
EMMYGUY said: Asante kwa kuliona hilo. Tunakoelekea si sehemu sahihi kabisa. Click to expand... Jaribu kuchunguza day after day member wanazidi kupungua.. na siyo kwamba ni ubusy wa kazi, Noooo. Hata mm pia ile morali ya mwanzo cna tena why......??
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 Jun 22, 2016 #58,592 Valentina said: Unadhani mie kama wewe... Au nikupe lingine nini Click to expand... Hahahhah nipe kutoka KWAYA YA AIC CHANG'OMBE SASA...
Valentina said: Unadhani mie kama wewe... Au nikupe lingine nini Click to expand... Hahahhah nipe kutoka KWAYA YA AIC CHANG'OMBE SASA...
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Jun 22, 2016 #58,593 jonax said: Nimepitia post za nyuma na mpaka hapa tulipofikia na kuona Makapuku Forum kwa sasa inapoteza msisimko na sijui ni kwanini? Tujirekebisheni wadau Click to expand... Tumefanyaje tena sie makapuku jamani?
jonax said: Nimepitia post za nyuma na mpaka hapa tulipofikia na kuona Makapuku Forum kwa sasa inapoteza msisimko na sijui ni kwanini? Tujirekebisheni wadau Click to expand... Tumefanyaje tena sie makapuku jamani?
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Jun 22, 2016 #58,594 jonax said: Hiyo mistari inapatikana katika Zaburi kama sikosei Click to expand... Yes umepatia.... Ila manuu hajui
jonax said: Hiyo mistari inapatikana katika Zaburi kama sikosei Click to expand... Yes umepatia.... Ila manuu hajui
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2016 #58,595 jonax said: Hiyo mistari inapatikana katika Zaburi kama sikosei Click to expand... Huna uhakika.
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Jun 22, 2016 #58,596 EMMYGUY said: Usafiri wangu uligoma shemdarling. Mambo niaje lakini? Click to expand... Ni njema sana shem
EMMYGUY said: Usafiri wangu uligoma shemdarling. Mambo niaje lakini? Click to expand... Ni njema sana shem
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 Jun 22, 2016 #58,597 jonax said: Hiyo mistari inapatikana katika Zaburi kama sikosei Click to expand... Ni ya kutoka katika Zab ila imefanywa popular sana na kwaya moja anayoiimbia...Im kidding..
jonax said: Hiyo mistari inapatikana katika Zaburi kama sikosei Click to expand... Ni ya kutoka katika Zab ila imefanywa popular sana na kwaya moja anayoiimbia...Im kidding..
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2016 #58,598 manuu said: Zimefika mkuu .. Click to expand... Amani sana kaka.
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Jun 22, 2016 #58,599 Valentina said: Yes umepatia.... Ila manuu hajui Click to expand... Hakika Sunday school ilinijenga sana mpaka sasa nakumbuka.. Kweli nmeamini ule mstari usemao Mlee mtoto njia impasayo hata akikua hata iacha.. sikumbuki huu mstari unapatikana wapi?
Valentina said: Yes umepatia.... Ila manuu hajui Click to expand... Hakika Sunday school ilinijenga sana mpaka sasa nakumbuka.. Kweli nmeamini ule mstari usemao Mlee mtoto njia impasayo hata akikua hata iacha.. sikumbuki huu mstari unapatikana wapi?
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2016 #58,600 amaizing said: Ni njema sana shem Click to expand... Siku njema shem.