amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Katika Swala la safari nimekamilika kila idaraNitumie account number yako inbox.
Kwani uko na passport?
Ushndwe wewe kutuma pesaa
Katika Swala la safari nimekamilika kila idaraNitumie account number yako inbox.
Kwani uko na passport?
Ni poa,habari ya we we??Za usiku makapuku
Ok, tuma account no. yako inbox sasaKatika Swala la safari nimekamilika kila idara
Ushndwe wewe kutuma pesaa
Safi tuu, karibuZa usiku makapuku
Asante@jonaxSafi tuu, karibu
Watoto wa malkia wamesonga kingekewangekewa
Mwisho wao 2nd round tu![]()
Wanajua kunyoa viduku tu.....hawawezi mpira
.........
Wakibahatisha basi ni 1/4 final na wataondoshwa kwa aibu km skendo ya kifaruMwisho wao 2nd round tu
Leo mm ndo ntakuwa mlinzi wenu hapa wa likes zenu maana naona huko tayari ni usikuAsante@jonax
Tutakuwa wote,cha msingi tuwalinde temboLeo mm ndo ntakuwa mlinzi wenu hapa wa likes zenu maana naona huko tayari ni usiku
Kesho watapambwa sana kwenye magazeti yaoWajukuu wa Malkia hawana lolote...
Wana timu ya kawaida sana, na sasa wanajaribu kutuaminisha Rooney ni kiungo kama walivyotuaminisha kipindi fulani kuwa combination ya Gerrard na Lampard ktk timu ya taifa ina impact.Watoto wa malkia wamesonga kingekewangekewa
Timu ya magazetini wameshindwa kuongoza kundi jepesiWajukuu wa Malkia hawana lolote...
Si mkilinde kifaruTutakuwa wote,cha msingi tuwalinde tembo
Wana timu ya kawaida sana, na sasa wanajaribu kutuaminisha Rooney ni kiungo kama walivyotuaminisha kipindi fulani kuwa combination ya Gerrard na Lampard ktk timu ya taifa ina impact.
Wote tunawaangalia kwa makini sanaSi mkilinde kifaru
........