briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Hii haina ukweli sana mkuu mfano mzuri ni yule jackline kwa mengi, we unadhani mengi ni handsome sana kwa kutoka nae out??Mkuu physical appearance ina matter kwa mwanamke anayejitambua, anayeikota ilimradi anapesa hajitambui kwani mkiwa auti au unampeleka kwa wazazi inakuwa tatizo

