Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Unasahau vizuri tuHisia nzuri huwezi sahau hadi kifo
Kuweka kumbukumbu au kuzifuta ni uamuzi wako mwenyewe, ndio maana watu humeditate ili kuweza kutawala mwili wako na kuamua ukeep kitu uskip
Unasahau vizuri tuHisia nzuri huwezi sahau hadi kifo
Ye aliona isiwe tabu, kwani shs ngapi? Akatupa kule kisha akaset mambo mengine kama kawaidaKamando![]()
Inategemea na kiwango unachokipata baada ya hapo piaUnasahau vizuri tu
Kuweka kumbukumbu au kuzifuta ni uamuzi wako mwenyewe, ndio maana watu humeditate ili kuweza kutawala mwili wako na kuamua kipi ukeep kipi uskip
HaswaaaHisia nzuri huwezi sahau hadi kifo
Ndo maana wanawake hawamsahau aliyewatoa bkraHisia nzuri huwezi sahau hadi kifo
Hizo ni hisia zako tuNdo maana wanawake hawamsahau aliyewatoa bkra
Ukimwacha mtu kiroho Safi hamnaga vijembe.Ye aliona isiwe tabu, kwani shs ngapi? Akatupa kule kisha akaset mambo mengine kama kawaida
Ndo maana wanawake hawamsahau aliyewatoa bkra
Ye kapata sababu ya kuingizia pesa hivyo anatumia fursaUkimwacha mtu kiroho Safi hamnaga vijembe.
Ni hisia SIO fursa!Ye kapata sababu ya kuingizia pesa hivyo anatumia fursa
Pouwa, adje???Habari za muda huu wakuu.
Waaacha!!!Hizo ni hisia zako tu

Poa kabisa mkuu.Pouwa, adje???
Hellooooo .....Ye aliona isiwe tabu, kwani shs ngapi? Akatupa kule kisha akaset mambo mengine kama kawaida
Huyu dogo si anachezea Zenit st Petersburg???
Nlikukumbuka saaana kiongozi wangu....Habari za muda huu wakuu.