Makapuku Forum

Hahaha kwa siku hizi usipomuona mtu online kwa siku kadhaa inatia shaka sana...Kuna jamaa mmoja yake ilinyakuliwa mawasiliano akiwa katikati ya maongezi nyeti...Akabaki halo...halo...halo..kuchek akakuta no service...
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…