Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Na download upyaaaaaaKomaa mpaka kieleweke
Mara ya pili hii
..........
Na download upyaaaaaaKomaa mpaka kieleweke
hahaha unawaogopa?Mwambie kabisa kuwa mimi nimepiga magoti
Muraaaahahaha...ngoja nibadili gia angani...intelijensia yako iko sahihi
ameharibu utulivu humu ndaniTumgeuze sumbai kipofu asione hizi commentsKakika nakupenda sana
AiseeNa download upyaaaaaa
Mara ya pili hii
..........
Ifike mahali uweke Avatar inayoendana na jinsia sasaHakuna ogopa madogo hao
Pole,Itazimwa yako
Natumia briwser ht kulike dhida
......
Naunga mkonyo* hojaIfike mahali uweke Avatar inayoendana na jinsia sasa
Kwenye kile kialama kiko kama kopa ukiclick pale basi unakuwa umelike tayariItazimwa yako
Natumia briwser ht kulike dhida
......
Thnx shemMie niko vizuri kabisa.
Nilikumis sana shem.
Kasema hataki tena social network, analea saa hiziKatekwa na wakongwe
![]()
![]()
![]()
........
Wifi sikutegemea kukuona hasa muda huuMie ni poa shem
UnapendaKwenye kile kialama kiko kama kopa ukiclick pale basi unakuwa umelike tayari
ahaa poleNilidrive rafu todo na sikufunga vioo
Labda akulee wwKasema hataki tena social network, analea saa hizi
Asante kwa ushauri dada japo spendi kuweka avatar ya mwanaume mwingine la sio pincha yanguIfike mahali uweke Avatar inayoendana na jinsia sasa