Makapuku Forum

Number 5: The Plaza, New York City



Imejengwa mwaka 1907 ni moja wapo ya sehem za kihistoria za USA

Number 4; Burj Al Arab Hotel, Dubai



Hii haihitaji utambulisho moja ya vivution vikubwa kwa wenzangu na mimi walo fika dubai

Number 3: The Westin Excelsior, Rome



Imejengwa mwaka 1906 huko Italia, matengenezo yake tuu huchukua zaid ya euro milioni saba
 
Number 2: Mardan Palace Hotel, Uturuki



Hii iko Antalya ,(ambako timu ya yanga ipo now) hii ndo inasadidkika kuwa na bwawa kubwa kuliko hoteli nyingne zozote huko Ulaya, gharama yake ni Euro 1.6 billioni na ilijengwa 2006


Number 1: Emirates Palace, Abu Dhabi



Hii gharama yake ni zaidi ya USD 3 billion, ina conference room zaod ya 40,na material ya kuijengea tuu yalitoka katika nchi zaid ya 40 (pengine na Tanzania ikiwemo)

Ina uwezo wa kuchukua zaid ya watu 1,000
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…