"Hakuna kitu kibaya Kama kumpa lift mzungu. Hata akae kiti cha nyuma itaonekana yeye ndo mmiliki wa gari na ww ni dereva wake. Dawa kumpakia kwenye buti."