PowaaaNothing,
Nzuri sana mkuu..Ulihadimika na leo umekuja siku moja na Patience123 yaelekea mlikuwa wote Ulaya maana yeye amesema ndo katua na KLM...Welcome back..Habari zenu?
Safi tu. Long time no seeHabari zenu?
Good afternoon loveGood afternoon ma sweetheart...
Unakimbilia wapi....taratibuUmekuja![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ntamsalimia.....na zawadi atapataUkimuona huko msalimie
Nawahi msalani mara mojaUnakimbilia wapi....taratibu

Sawa usisahau kumpatia sukari huku kwetu hamna kabisaaNtamsalimia.....na zawadi atapata
Ha hahahahha hahahaha subiri azeeke.....Ngumu Kama Youngblood kuokoka![]()
![]()
![]()
![]()
Hahahha hao hapana golden generation yao inakwisha sasa hivi zamu yetu englandNamshauri aungane na bitoz na jimena kule German
Tukaribishane......Lunch time makapuku
Umepoteza funguo????Nawahi msalani mara moja
Ntakupigia ntakupigia![]()
![]()
![]()
![]()
Ile nyekundu???? NtaletaSawa usisahau kumpatia sukari huku kwetu hamna kabisaa