Umebarikiwa kupata watoto warembo sanaWanangu hao kasoro hii
Ni machozi ya furaha sio?Hapo wenye screen pana wanafaidi mkuuView attachment 356073
Kwan kuna ma slow learner wengine humu.. kama niko pekeangu si tungefanyia tu PM?Sio PM
Darasa litakuwa hapa hapa
Ni wewe huyu??Mimi ni mjukuu wa Mtume a k a kijukuu cha Mtume View attachment 356080
Kupumzika kwema chiefMungu awalinde eote, usiku uwe mwema nawapenda woteee
Nyt mwayaUsiku mwema
Na kwako pia, ulale unono![]()
Full time
:
![]()
USIKU MWEMA
..........................
Wengine tulishalala mchana tuko shift ya usiku sasamakapuku hamlali?
Kwa kugawa likes mkuu na wewe utapata love ya kutoshaHivi humu tiba ya ukiwa naipataje
Inanisaidiaje kwa mfano??Kwa kugawa likes mkuu na wewe utapata love ya kutosha
#MisungwiPole na safari
Unapatikana kwa kisumbusi ganiwakubwa tuna angalia hustelar tv,
ni online tv huko ni pilau tu akuna ugaliUnapatikana kwa kisumbusi gani
Dah mkuu umepanda bas gan mbona kama safari imekua ndefu sana?#Misungwi
Kunywa kitwangaHivi humu tiba ya ukiwa naipataje