Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Duuh! Naomba nikusake kesho,sijui kitu gani kilinisahaulishaMbona hukupokea c..yangu
Duuh! Naomba nikusake kesho,sijui kitu gani kilinisahaulishaMbona hukupokea c..yangu
Pamoja sana, labda baridi ilikuzidi dadakeDuuh! Naomba nikusake kesho,sijui kitu gani kilinisahaulisha
Hii baridi acha tu....Pamoja sana, labda baridi ilikuzidi dadake
Lala unono mwayaNawatakieni usiku mwema, makapuku wenzangu
Nime appreciate ushirikiano wako mkuuNawatakieni usiku mwema, makapuku wenzangu
Pamoja mkuuNime appreciate ushirikiano wako mkuu
Dawa yake ni kwenda kwa morombo kula ile kitu maarufu pande hizo roho inakuwa kwatuHii baridi acha tu....
Hapa nimejifunika blankets mbili na kujijaladia
Itabidi aiseDawa yake ni kwenda kwa morombo kula ile kitu maarufu pande hizo roho inakuwa kwatu
inaelekea huli nyama chomaHii baridi acha tu....
Hapa nimejifunika blankets mbili na kujijaladia
Nina muda kweliinaelekea huli nyama choma
Nimegundua hilo hebu kesho fanya kweliNina muda kweli
Nite niteNawatakieni usiku mwema, makapuku wenzangu
Umejijaladia na nini?Hii baridi acha tu....
Hapa nimejifunika blankets mbili na kujijaladia
Soksi na trakisutiUmejijaladia na nini?

Ooh okaySoksi na trakisuti![]()