Makapuku Forum

Makapuku Forum

Siku ya kwanza naingia jf nlitoa maoni jukwa la siasa loooh!!!

Kuna jamaa anaitwa mmawia, alinipa kashfa hzo nlichoka mwnyewe
Mi majukwaa yote naingiaga kimyakimya siwi na kiherehere
Nasomaga tu nasepa isipokuwa km Kuna thread zangu mfn Jukwaa la Mitindo au thread yenye interest kwa Makapuku
.........
 
Mi majukwaa yote naingiaga kimyakimya siwi na kiherehere
Nasomaga tu nasepa isipokuwa km Kuna thread zangu mfn Jukwaa la Mitindo au thread yenye interest kwa Makapuku
.........
Kwa hyo Mkuu Szczesny alikula za uso[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
64b89ecd3ec8914d35a1c49a5782c240.jpg
 
Back
Top Bottom