Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Sio kama hajui ila hana bahatiHajui
Sio kama hajui ila hana bahatiHajui
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] huko ni kutafuta kifoAu kwenda kuuza kitimoto Dubai
Hakafu tunataka tufuzu eti AfconTimu yetu hii majanga sana,kila siku ni vikongwe tu,hata mech za kirafiki wanachaguliwa vikongwe
Semi-final hapoHata km akishindi lkn hafiki mbali
..........
HahahaKwanini ushabikie timu ya Man Utd halafu ukajipa jina la kipa wa Arse8?
Mbona mie nlikuepo nlipo ona huji nkasema ngoja nipumzke tuuHivi ulipotelea wapi?
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Huyu kapuku ana jina gumu sana jamani
Dawa Sheikh YahyaSemi-final hapo
Hamna namna inabidi atumbuliwe tu!!Hili nalo ni jipu
Matozi wenzio hao[emoji115] [emoji115]![]()
Wauza sura sawa na Bafana tu Bafana hawatafika mbali
.........
Jina la kitasha hilo kwa mswahili kazii[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] kama mizizi
Unaweza tapika ulimiKutamka Sasa ndio utata mtupu
ZuriiiMi kispanish
Mi namuonaga wa kawaidaSio kama hajui ila hana bahati
Bahati inaenda na kujuaSio kama hajui ila hana bahati
Mtasubiri sanaaHakafu tunataka tufuzu eti Afcon
Mmmmhhhh [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Mbona mie nlikuepo nlipo ona huji nkasema ngoja nipumzke tuu
Timu zote za Great Britain [emoji636] ndo nazishangilia safari hii. Pia bila kusahau portugalDawa Sheikh Yahya
Japo ww mtabiri wa mwezi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
Basi unamchukulia poa!!Mi namuonaga wa kawaida
Kazi kubwaJina la kitasha hilo kwa mswahili kazii