Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,543
- 35,401
Kama kawaida. Nataka nitupie hiyoI see man, you all keeping this thread alive
Kama kawaida. Nataka nitupie hiyoI see man, you all keeping this thread alive
Hahaaa we na youngblood huwa mnaziotea sana hizoKama kawaida. Nataka nitupie hiyo
Ila youngblood huwa anaziotea sanaHahaaa we na youngblood huwa mnaziotea sana hizo
Yule jamaa mda wote huwa ni kama anavizia hivi, utamuona anaibukia tu zikifika 49999Ila youngblood huwa anaziotea sana
Hope Leo hatatokeaYule jamaa mda wote huwa ni kama anavizia hivi, utamuona anaibukia tu zikifika 49999
Hahhaha unataka kukaba penati??Hope Leo hatatokea
Ndo manakeHahhaha unataka kukaba penati??
Penati inakagwa na Nguzo za magori tuHahhaha unataka kukaba penati??
Najua penati huwa haikabwi ila jamaa ndo anataka kuwa wa kwanza kuanza kukabaPenati inakagwa na Nguzo za magori tu
Afu usisahau kuna Jimena na Linamo, nao huwa wanaziotea sanaNdo manake
Una ugomvi na atletico Madrid [emoji85] [emoji85] [emoji85]Najua penati huwa haikabwi ila jamaa ndo anataka kuwa wa kwanza kuanza kukaba
Hahahaha bila shaka we ni R. MadridUna ugomvi na atletico Madrid [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]We ngoja zikaribie mbili tatu uone watakavyojazana [emoji30] [emoji30]
Swaum inapanda?Mzima kabisa
Nawasubiri hapa navizia kama Philipo Inzagi
Nawasubiri hapa navizia kama Philipo Inzagi