Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
Malizia sasa uniambie![]()
Malizia sasa uniambie![]()
Usiwe na shaka mkuu,sisi mambo yetu yanaishia hapa hapa!Msianze kutafutana mtapunguza pages hapo...endeleeni kuwasiliana hapa hapa
Kweli huku ni upendo wa mbali aisee uko kwa lema hapoMi mzima. Arusha
Hapo sawaUsiwe na shaka mkuu,sisi mambo yetu yanaishia hapa hapa!

Sumbai jibu hili swaliAlijificha mwenewe au alifichwa?
Kufa hufi ila cha moto utakionaHaaaash!!!!! Kidole kinauma kutoa like page zote hizo mtaniua
Nafanya kazi NMB MKUU si unajua folen yake?Rafiki unakuwa adimu sana hadi unatupa mashaka!...... Ki ukweli mara nyingi unakuwa mafichoni!
Sio lupela huyu auWa kwetu huyuu erooo....
Good morning unconditionally bae
Nimeamka salama MRCute b umeamkaje bibie
Haha sisi wa hapa hapa mkuuMsianze kutafutana mtapunguza pages hapo...endeleeni kuwasiliana hapa hapa
Huu ugomvi sasa. Mimi simo
Usijali karbAiss nimekupenda bureee kusikia unapofanya kazi
Nimeogopa hadi kulike....shehe!
Asante th name.