Makapuku Forum

goodMorning people.
nimejikuta naamkia hapa, as jana usiku niliacha ujumbe hapa kwa ajili ya my Jimena, sikujua nini kimeendelea as nimekuta page zimetembea sana!!
now i can declare something!!
sumbai mzima kaka? we have plan, don't forget it.
Mkuu wangu Wa miaka mingi kiwatengu unisamehe kwa kutokujib msg kwa watk.....

Sijasahau....kabisaa ndugu yangu.

Ila kuhusu Jimena ni kwamba huyu jimena ni Mali ya kapuku....keshakusahau weww mkongwe....

kiwatengu msalimie cute b popote utakapo mwona....
 
Hilo ni kosa la menejiment ya chuo sasa, ambao walihofia vurugu na ishu kama hzo, pia hapo naweza kuunga mkono

Ila kwa wake wenzangu na mimi walo wahi kufukuzwa chuo, chuo huwa hakikupi zaid ya masaa 24 muwe wa wili au laki 1
Wanafunzi 7000 dodoma wataenda wapi ndani ya masaa 24??
 
Unavyomwambia nimeshamsahau, since when nilikuwa na mazoea nae??
Acha kumpa kichwa
Sijawahi na sitaki mazoea nae ndomana nakaa kimya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…