Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,530
- 35,363
Safi tu. Za kwako brotherGood morning brother.
Habari ya jumamosi.
Safi tu. Za kwako brotherGood morning brother.
Habari ya jumamosi.
Hapo unaiburuza tuu......Good morning Guyz.
Kwa wale madereva unadhani utaweza chomoa hiyo gari hapo? Wameshajaribu maderva kama 17 wenye uzoefu na wote wamechemka.
View attachment 351574
Inawezekana sana ila haitaki haraka kuichomoa hapo...mdogo mdogo tu...Good morning Guyz.
Kwa wale madereva unadhani utaweza chomoa hiyo gari hapo? Wameshajaribu maderva kama 17 wenye uzoefu na wote wamechemka.
View attachment 351574
Mkuu habari ya kwako?Hapo unaiburuza tuu......
Kipimo cha udereva wako hapo ni haitakiwi gari ikwaruzike hata kidogo.Hapo unaiburuza tuu......
Haitaki haraka... upewe mda gani uweze kuichomoa hapo?Inawezekana sana ila haitaki haraka kuichomoa hapo...mdogo mdogo tu...
Hamna Hamna namna hapo.....ha haa...Kipimo cha udereva wako hapo ni haitakiwi gari ikwaruzike hata kidogo.
Happy daysabato njema wakuu
Na wewe pia kiongozi.sabato njema wakuu
Teh teh morning to you mkuu, Hahahah umekubali kutoa jina kwenye list ya madereva wazoefu? Kuna jamaa yeye alisema anaweza kuitoa hapo ila ukuta ubomolewe kwanza.Hamna Hamna namna hapo.....ha haa...
Good morning brou