moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,370
- 776,077
Kwani uko mji gani hap TzHuwezi kunipa hints kidogo au huna hizo mambo
Kwani uko mji gani hap TzHuwezi kunipa hints kidogo au huna hizo mambo
😅 kwanini shemelaa tena ShesRise_1Morning shemelaa
Huyo mdau ni nani aisee kaka.
Kuna vijana nawajua wanafunga mapambo ya magari mtaa wa LumumbaHuyo mdau ni nani aisee kaka.
Kwani hutaki😅 kwanini shemelaa tena ShesRise_1
Nataka nifungue duka la urembo wa magari aina zote.Gari yako aina gani?
Ni kweli niko na mambo mengine, lakini kuna wadau nawajua wanaohusika n hiyo kitu
Kanda ya ziwaKwani uko mji gani hap Tz
Shemela kwa nani tena kipenzi,,,,Kwani hutaki
Ok ok, uko wapi?Nataka nifungue duka la urembo wa magari aina zote.
Sina uzoefu
Ila biashara hiyo ina mitaa yake maalum.Nataka nifungue duka la urembo wa magari aina zote.
Sina uzoefu
GudubaiiShemela kwa nani tena kipenzi,,,,
Jipange uje Dar, mitaa maalum ya vifaa hivyo ni.Kanda ya ziwa
Umesahau kumuuliza atakuwa anauza jumla au reja reja? Kama ni jumla awe anaagiza mwenyewe vifaa india, china na japan, atakuwa amewin sana.Jipange uje Dar, mitaa maalum ya vifaa hivyo ni.
Lumumba/ Mchikichi.
Lumumba/Mahiwa
Lumumba/Narung'ombe
Lumumba/Pemba
Lumumba/Mkunguni
Lumumba/Mafia
Lumumba/Karakoo
Lumumba/Udoe
Lumumba/Amani.
Lumumba/Ungoni.
Kwa kifupi mtaa wa Lumumba ndiyo uliobeba biashara ya mapambo ya magari, ingawa mitaa mingine kuna maduka moja moja wanafanya hivyo
Asante sanaJipange uje Dar, mitaa maalum ya vifaa hivyo ni.
Lumumba/ Mchikichi.
Lumumba/Mahiwa
Lumumba/Narung'ombe
Lumumba/Pemba
Lumumba/Mkunguni
Lumumba/Mafia
Lumumba/Karakoo
Lumumba/Udoe
Lumumba/Amani.
Lumumba/Ungoni.
Kwa kifupi mtaa wa Lumumba ndiyo uliobeba biashara ya mapambo ya magari, ingawa mitaa mingine kuna maduka moja moja wanafanya hivyo
AsanteIla biashara hiyo ina mitaa yake maalum.
Kwa kifupi kariakoo yote mitaa imekaa kispesho.
Biashara furani inakuwa mitaa furani
Asante,, kiukweli sitafanyia hiyo kitu dar, ni huku Kanda ya ziwa.Ok ok, uko wapi?
Kama utakuwa tayari
Naweza kuongea na jamaa akakutafutia chumba cha biashara
Nafanya utafiti . Ila itakuwa jumla na rejarejaUmesahau kumuuliza atakuwa anauza jumla au reja reja? Kama ni jumla awe anaagiza mwenyewe vifaa india, china na japan, atakuwa amewin sana.