Nimefurahi sana kukuona
Shunie moja ya vitu vinavyoninyima raha ni kutuona uwepo wako. Macho yako upole, lips za upendo, tabasamu la pesa na moja ya vitu vinavyonifanya niendelee kuwepo hapa JF ni wewe
Shunie mwanamke mwenye busara, akili mingi, mpambanaji ntahakikisha naongea na wahenga
Obe moudgulf na
makaveli10 ili huu mwaka tuwe rasmi.