Masasi ni makao ya kitu gani mkuu Obe....ni kweli kabisa, nitakulinda na hutopata madhara yoyote, iwe ninakulindia chumbani, sebuleni au nyumba ya wageni. Tutalindana
Misungwi ndani ndani huko kama unaenaoada Misasi na siku hizi Masasi Mtwara ndo makao
Huna uzee huo Shunie , kama umesahau Jf itakuwa ni maradhi tu na si kwa uzee.Me jamani nahisi ni uzee hivi mjue nimeshasahau kama kuna kitu kinaitwa jf [emoji2296] mnisamehe tu nikikumbuka kama hivi ndio naingia niombeeni huu uzee uniache kidogo
Yaani ni fire🔥🔥🔥🤣🤣Alooooh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeambiwa amechanganyikiwa kwa kuto kukuona!!Ushakua uzi wa selfika huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
He heUmeambiwa amechanganyikiwa kwa kuto kukuona!!
Huenda leo atapata nafuu, hasa baada kuona tabasamu lako [emoji28][emoji1787]