Zipo pale stendi🤣Hahahaha kama ni bus niambie ofc zao zilipo,😂😅
Mwaka ule ulifanya nini?...dada yako anazo sababu nyingine kabisa za kunikimbia, hii sio mojawapo. Nikikuambia sababu aliyonayo utaumia sana, unaweza hadi kuamua umwambie anirudie haraka kabla sijafanya kama nilivyofanya mwaka ule
Mwaka ule ulifanya...dada yako anazo sababu nyingine kabisa za kunikimbia, hii sio mojawapo. Nikikuambia sababu aliyonayo utaumia sana, unaweza hadi kuamua umwambie anirudie haraka kabla sijafanya kama nilivyofanya mwaka ule
Shemegi umeachwa, ukaamua uwe motivesheno spika!Siku moja kabla ya mwisho wa mwezi.
Naam, ni masaa tu sasa kabla September haijayeya na mkubwa October kuingia, hapa siongelei mambo ya tunatiki au NRNE, naongea kuhusu October kuwa karibu kabisa na mwisho wa mwaka. Bado miezi miwili tu ufunge kitabu cha malengo yako na hapa ndo hoja yangu inapokuja leo.
Bila kujali ni asilimia ngapi ya malengo yako yametimia au kutotimia au tuseme kuvuka malengo bado maisha ni kitu kizuri kuwa nacho. Jamii tunayoishi iko vizuri kwa sababu wewe ni sehemu yayo. Na kwa kuwa maisha ni kuyaishi, basi fanya hivi kuongeza siku moja zaidi katika umri wako wa hesabu.
Vaa vizuri, kuwa kwenye mazingira yanayokupa amani ya moyo na akili hapo utakuwa umeongeza masaa 24 zaidi katika hesabu za maisha yako. Usivae nguo chafu, zinaondoa kujiamini hata kama uchafu hauonekani kwa wengine.
...ndiyo namna pekee ya kunitibu maumivu. Na hapo sijakuwekea mbinu nyingine, nagonga tequila, nashika simu naanza kuandika mistari kama anayokuandikia makaveli10 halafu asiponijibu ndani ya dakika 10 namtukana matusi ya nje ya nguoMwaka ule ulifanya
Shemegi umeachwa, ukaamua uwe motivesheno spika!
....lol! ule mwaka nzengo nzima ilisimama na kuniambia uamuzi niliochukua ulikuwa wa muhimu sana, yaani hadi mwenyekiti hakuamini. Ule mwaka nilichofanya hadi leo kinasimuliwa na kila mtu. Ni vile tu wewe ni mgeni, mwenyeji wangekuambia sema hawana VPNMwaka ule ulifanya nini?
Ndio uniambie sasa.....lol! ule mwaka nzengo nzima ilisimama na kuniambia uamuzi niliochukua ulikuwa wa muhimu sana, yaani hadi mwenyekiti hakuamini. Ule mwaka nilichofanya hadi leo kinasimuliwa na kila mtu. Ni vile tu wewe ni mgeni, mwenyeji wangekuambia sema hawana VPN
🤣🤣🤣🤣🤣...ndiyo namna pekee ya kunitibu maumivu. Na hapo sijakuwekea mbinu nyingine, nagonga tequila, nashika simu naanza kuandika mistari kama anayokuandikia makaveli10 halafu asiponijibu ndani ya dakika 10 namtukana matusi ya nje ya nguo
...nikienda kulala sasa hivi nitaamka usiku sana afu nipate dhambi ya kumkosoa fundi au kujichukulia sheria mkononi. Nampigia mdogo wako kwa namba ngeni kabisa au kama una namba yake nyengine nitumie. Nitakonda afu ndugu zangu wakulaumu wewe🤣🤣🤣🤣🤣
Hebu kalale.
...yaani nikukiambia hautaamini, fikiria hadi Tresor Mandala aliposikia nilichofanya alinitafuta kunipongeza, ila kipindi hiki sina imani kama atanitafuta maana ni muhisika vyenye napitia.Ndio uniambie sasa.