Heeeeeh! Kilaji tena!!Usilie kipenz, chukua kilaji kwenye friji utoe lock, huyu kijana jau sana.
Si ndio maana ninaliaπββοΈπββοΈWajameni. Usilie kama wa kukubembeleza anakuambia nenda kwq friji ukanywe fursana
Rafiki nimegundua niko singoππππNini Tena kina kuliza Rafiki ?
Hahahaha,dah, imebidi nicheke kwa sauti Hadi mtu wa kaunta kanishangaa hapaRafiki nimegundua niko singoππππ
Aaah unanicheka rafiki?πββοΈHahahaha,dah, imebidi nicheke kwa sauti Hadi mtu wa kaunta kanishangaa hapa
Hahahaha,cjakucheka nimefurahi tu, Rafiki,ila najua unatania Chitchat πAaah unanicheka rafiki?πββοΈ