PoleHuu Uzi ukipigika ndo unakutano nao hii si kawaida asee ๐
Acha tu, haya mambo utasema hayazungumziki. Umempigia pasi nyingi sana Tresor Mandala mimi nikabaki kuwa mpenzi mtizamajiKumbe kuna mkongoman tena๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kwiiiiisha habari yako.
Kumbe Tresor Mandala ndio mkongomani!!Acha tu, haya mambo utasema hayazungumziki. Umempigia pasi nyingi sana Tresor Mandala mimi nikabaki kuwa mpenzi mtizamaji
Ha ha ha ahahahah, uzi umejaa sana, na hapo hujapigika. Ukipigika zaidi utakutana na uzi wa matangazo ya biasharaHuu Uzi ukipigika ndo unakutano nao hii si kawaida asee ๐
Hahahaha ๐คฃLol, ulikuwa haulijui hili? ! Mtu alipata ahadi ya kutembelea Kinshasa.
Wewe umesema uko Zaire, nikajua ume-team up na Tresor Mandala kuonesha hizi mvi nilizonazo ni za uzee, nikisema ni za ukoo siaminiki
Hahahaha,ananisingizia tu si kweli, Rafiki
Aiseeeh! Pole sana shemeji. Hili sikulijua kabisaaa๐คฃLol, ulikuwa haulijui hili? ! Mtu alipata ahadi ya kutembelea Kinshasa.
Wewe umesema uko Zaire, nikajua ume-team up na Tresor Mandala kuonesha hizi mvi nilizonazo ni za uzee, nikisema ni za ukoo siaminiki
Aaaah! Kwahiyo dada yangu umempeleka kongo๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธHahahaha,ananisingizia tu si kweli, Rafiki
...akikujibu, nijulishe hata kwa meseji maana simu bundle linaisha muda si mrefu na wifi ya hapa masjid kuna mjinga kabadili paswediAaaah! Kwahiyo dada yangu umempeleka kongo๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Sasa tunafanyaje shem, sema neno tufanye mapinduzi mazito....akikujibu, nijulishe hata kwa meseji maana simu bundle linaisha muda si mrefu na wifi ya hapa masjid kuna mjinga kabadili paswedi
...sasa hapa ndo umenena lugha yangu nayotaka kusikia. Uko na mpesa unitumie hela ya bando nikupigie?Sasa tunafanyaje shem, sema neno tufanye mapinduzi mazito.
Hahahaha ๐คฃ,,Dada yako yupi Tena , RafikiAaaah! Kwahiyo dada yangu umempeleka kongo๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Mapinduzi tenaSasa tunafanyaje shem, sema neno tufanye mapinduzi mazito.
Hahahahaha,Nasingiziwa mimi, hebu mnisafishe๐คฃ