Makapuku Forum

Habari wana JF

Matumaini yangu wote mko poa kabisa.

Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote hum

Karibu sana
Lengo la mada ni nzuri lakini ni vyema kutumia kiswahili fasaha hili kupunguza ukali wa maneno Kwa mfano badala ya kutumia neno "kapuku" litumike neno "kabwela" likiwa na maana ya watu wenye vipato vya kawaida tu Hela ya kula siku ziende.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…