Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Changamoto
Changamoto
Alafu ni kweliiiiiiUmezaliwa kwa ajili yangu babendio mana nakupenda
Napendwaaaa walahiiii
Auntie una nini lakiniii huamini au

Sijabisha auntie ni wa kwangu ndioHuyo shindikana wako peke yako.
Hapo ndipo huwa nagombana nae, kwanini apunguze kitambi, kitambi kinafaida nyingi.
Pili, nimempendea ufupi wake, sasa mume tall, mke tall, nani mume nani mke, lazima kuwe na utofauti kijana.

Babe achana nayeUtoto huo sasa
Hahahahahaha..utoto wa kitotoUtoto huo sasa
Utaniuaaaa walahiii na hizi rahaaaUfe wewe nife mimi babe![]()
Usife babe nipo kwa ajili yakoUtaniuaaaa walahiii na hizi rahaaa