Hatari ya nini tenaMna hatari na nusu
Shunie anataka kuku KROS MATIPLIKESHENI![]()

Makubwa haya we poker tafuta mpenzi me na hizo mambo hapana jamaniii
Na naniiii? Mnitoe kwenye hizo mamboMmefikia hapo?
🤣🤣🤣🤣Na huyo pia auntie
Khaaaaa!Sijambo mkwe wangu! Habari ya weye?
Humu wapiii mbona we upo na babe haunaHahahahaha naona humu mmetimia kila mtu na babee wake
Hapana aiseee sina michepuko mie
Pambana na michepuko yako auntiee!

Tulia weweeMakubwa haya we poker tafuta mpenzi me na hizo mambo hapana jamaniii
SitakiiiiiiiTulia wewee
Unaikana eeh?Hapana aiseee sina michepuko mie![]()
Utatulia tu.Sitakiiiiiii
Hahahahahaha ni mimi tuHumu wapiii mbona we upo na babe hauna