Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,241
- 90,419
Hakuna swahiba...narudia kama wewe hukunielewq basi hakuna tena wakunielewa..acha nibaki mtazamaji tu
Kupo kusipoeleweka Swahiba....
Unajishikiza ukisubiri kupata Mpoa wako.
Hakuna swahiba...narudia kama wewe hukunielewq basi hakuna tena wakunielewa..acha nibaki mtazamaji tu
Kupo kusipoeleweka Swahiba....
Unajishikiza ukisubiri kupata Mpoa wako.
Hahahahaha
Ndiyo ameshakuwa sasa...
Valentine tunayo na tunatamba nayo![]()
🤣🤣🤣🤣🤣Ifike mahali uache huu ujinga..
Masikini mababu wa watu🙆🙆
Ndiyo ameshakuwa sasa...
Valentine tunayo na tunatamba nayo![]()
Hakuna swahiba...narudia kama wewe hukunielewq basi hakuna tena wakunielewa..acha nibaki mtazamaji tu

Swahiba Swahiba..
Sasa naachaje na sijalipwa!! Eti jamani. Ifike mahala unilipe.

TokaaaaHahahaha salam aleykhumSwahiba Swahiba..
Samaleko
Masikini mababu wa watu
Naihurumia pension yake.
Sasa si namba yangu ya mpesa unayo eeh!

Mwambie mbabu una madeni🤣Tokaaaa
Hebu subiri kwanza!! Hivi vikohozi ulijuaje?
Mababu tena....na walivyo na Vikohozi visivyoisha...
Wewe kuweza![]()
Hebu subiri kwanza!! Hivi vikohozi ulijuaje?
Mie niko na mzee mwenzangu makaveli10 hatuna taabu na mtu![]()

😳😳😳😳Siyo shida zetu kipindi hiki![]()
Weeeeh!! Kwahiyo unataka kusema makaveli10 ana vikohozi visivyoisha?
Umesahau ulivyonihadithia.
Haiwezekani mle bata na nawadai. Nitawafuata huko huko niwamwagie michanga.

Ndiyo uniambie sasa...
Unataka kusemaje?Ndiyo uniambie sasa...
Ni mubaba kwani?
🤣🤣🤣🤣Sijui chochote...
Nimeuliza ni Mubaba?![]()
...kama kuna kitu sikijui niambiwe tafadhari, usikute nimekaa stand hapa na gari limeniacha. Mstaafu kapita na ua ninalolitaka na sijaambiwaMasikini mababu wa watu🙆🙆
Naihurumia pension yake.
Sasa si namba yangu ya mpesa unayo eeh!