HahahahaKapata mzee wa pensheniiii
HahahahahaYupo kawa mkwepu jr auntie
Na mvua hizi, mafuriko kiasi watubwanaokota magari uwani kwao unaendelea vipi kuwa mwana DARAJANI A.K.A virasta fc, hamia kwa washika mitutu
View: https://www.youtube.com/watch?v=ldQrapQ4d0Y
makaveli10 Lee mkwepu jr sijawaita kwa sababu hampo, nimewaita sababu hamjasema sababu ya kutoamini kwamba ninashabikia Luton FC siku hizi na siko darajani tena
Ikifika jumatano ya majivu nikumbushe nijibu swali lakoJe, mzazi au mlezi (au kwa upamoja wao) wanahusika kwenye makosa aliyotenda mtoto wao. ?
Kuna la kujiuliza hapa kuelekea Jumatano isiyo ya majivu
https://www.nytimes.com/2024/02/06/us/jennifer-crumbley-michigan-shooting-verdict.html
Ikifika jumatano ya majivu nikumbushe nijibu swali lakoJe, mzazi au mlezi (au kwa upamoja wao) wanahusika kwenye makosa aliyotenda mtoto wao. ?
Kuna la kujiuliza hapa kuelekea Jumatano isiyo ya majivu
https://www.nytimes.com/2024/02/06/us/jennifer-crumbley-michigan-shooting-verdict.html
Punguza Mdomo
Anajifanya yuko busy, nchi hii unakuwa busy na nini eti!!!
Hahahahaha, duhPunguza Mdomo
Hahahahaha, duh
Ahsante swahiba heshima na wewe...huu mwezi wenu bana ..sie wengine hatuhusiki kbs
Heshima yako Swahiba...
Heri ya mwezi wa wapendanao.
Utahusika tu Swahiba..Ahsante swahiba heshima na wewe...huu mwezi wenu bana ..sie wengine hatuhusiki kbs
Hahahahahaha hapana swahiba..kama wewe hujanielewa hkn mwingine wakunielewa..hivyo acha tu .niwe mtazamaji..maana hakuna pasipoelewekaUtahusika tu Swahiba..
Tafuta mahali hapaeleweki jipachike hapo kwa muda🤣
Mpaka unilipe hela yangu🤣🤣🤣Punguza Mdomo
Ndio maana umepotea!! Kumbe unahangaika na mwezi. Huyo anayehangaikiwa sasa🤣🤣🤣🤣🤣
Heshima yako Swahiba...
Heri ya mwezi wa wapendanao.
Hahahahahaha hapana swahiba..kama wewe hujanielewa hkn mwingine wakunielewa..hivyo acha tu .niwe mtazamaji..maana hakuna pasipoeleweka
Ndio maana umepotea!! Kumbe unahangaika na mwezi. Huyo anayehangaikiwa sasa