Huwa napita na kusoma kimya kimya almost kila siku, kuna siku nimepita saa 10 alfajiri nikakuta umepost tayari.... unajitahidi sana kwa kweli
Sio wote wanaweza kufanya hicho unachofanya, na ingekuwa tupo jirani ungekunywa soda kwa bili yangu leo
Very proud of you