Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ndiyo mkuu nipo nikizidi kuangaza macho kutoa ushamba inanikumbusha mara kwanza kwenda Dar niliteseka sana kushangaa haswa majengo marefu lakini nilikuja zoea na sasa si mshamba tena hivyo mtanivumilia tu na hapa.
Ushamba upo popote duniani, nakubaliana nawe kuwa hapa u mshamba kwani hujui ki achoendelea, nami naweza kuwa mshamba uliko ujanja wako majukwaa mengine.
Humu watu wanaheshimiana, shirikiana na kupendana but usisahau ku like
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom