Shunie punguza basi kidogo hizo ma PDA unanitesa sana ujue basi tu nashindwa cha kufanya kwakuwa niko nyuma ya keyboard. Ila ilaa yote ni maisha we endelea kuutesa wangu moyo uliozama kisawasawa kwenye kina cha chini cha moyo wako. Nakuomba unihurumie tuu.
Makapuku ndio SISI, wengine woote MAFISI.
Hii thread ni zaidi ya days of our lives, haikufi leo wala mtondogoo, kila kukicha makapuku wapya wanazaliwa wanatetea chama.
Hongereni sana wazee.
Makapuku ndio SISI, wengine woote MAFISI.
Hii thread ni zaidi ya days of our lives, haikufi leo wala mtondogoo, kila kukicha makapuku wapya wanazaliwa wanatetea chama.
Hongereni sana wazee.
Enzi zangu nilikua siwaelew mnaoshinda uku ila nmetoka kula loss ambayo inanianzishia safari mpya ya maisha
Anyway niache porojo, nipeni mwongozo wa kujisajiri kuwa member wa kudum hum