Leo niachie funguo sasaSikulala, nilikuwa napima upepo, mara nyingi Mimi ni wa mwisho kulala hapa
Mimi pia nimefurahi mkuuMimi mzima kama siku zote.
Nafurahi kukuona hapa.
AaahNgoja nimtag makomeo
Cc
Nipo mkuu,
Mishe ziko poa sana, naona ile likizo inaelekea ukingoni sasa
Hahaha
Mi najutuma mwenyewe tuu, magu hantish
Ila usimwambie sasa
Kitu ya alarm ina vo kera ni hatareeVema sana.
Kitu ya alarm ina vo kera ni hataree
Ilikuwa ya muda mfupi ndio maanaNdio, inafikia tamati.
Japo sijaifaidi kabisa.
Inakera mno, saa zingine mtu unatamani uizimeKitu ya alarm ina vo kera ni hataree
SawaLeo niachie funguo sasa
Ntakuletea nkilifunga grp
Geshini wanaruhusu kuchat ambako wanakataza ni JeshiniWerasson analinda geshini uku ana chat
Japo sjui geshini ndo wap
Kuna sku nlishtuka nikazima cmInakera mno, saa zingine mtu unatamani uizime
Kuna sku nlishtuka nikazima cmInakera mno, saa zingine mtu unatamani uizime
Kuamka mapema hakuzoeleki kabisa, hicho ndio kitu ambacho ni kigumu zaidi katika maswala ya usingiziHaahaa,
Ukijizoeza hutakuwa na haja ya alarm.
Utaamka kwa wakati.
Na mimi nlipata wazo kama hyoGeshini wanaruhusu kuchat ambako wanakataza ni Jeshini
Ndio inaendelea unatakiwa uzime alarm sio simu, maana alarm inajitegemeaKuna sku nlishtuka nikazima cm
Kumbe hata uzime cm kitu ina pga tuuu
Ikabid dizain kama niamke tuu
Ilikuwa ya muda mfupi ndio maana
Kuamka mapema hakuzoeleki kabisa, hicho ndio kitu ambacho ni kigumu zaidi katika maswala ya usingizi
Asante injiniaaaaNdio inaendelea unatakiwa uzime alarm sio simu, maana alarm inajitegemea