Mpira ni biashara, sio mpira hurumaClub ya soka ya Simba imetangaza kumalizika kwa tiketi za mzunguko za Simba Day siku ya Jumamosi Jijini Dar es salaam ambako itacheza na Power Dynamo ya Zambia.
"Historia imeandikwa, kwa mara ya kwanza tiketi za mzunguko zimemalizika siku 3 kabla ya tukio.... kawaida Mzunguko humalizika siku ya tukio lakini safari hii mzunguko zimeisha mapema tena zimeisha kabla ya madaraja mengine wakati mara zote mzunguko ndo huwa za mwisho, asanteni sana wana Simba tukutane Simba Day" ——— ameandika @AhmedAlly_View attachment 2707737
Tupo mpwa, kwema huko?Makapuku mpo ??
Mambo ya rockMusic unasikika vizuri Ijumaa. Niko pale naisubiri ijumaa yangu maana dunia ya mfalme Charles, kila mtu anafurahidei yake, yangu sio leo hata kama kalenda inalazimisha iwe hivyo. Acha Upendo utamalaki stranger.
Au uite mtu kutoka nyumbani aje akufuateUnashauriwa uite uber/bolt/indrive or paisha baada ya kupata kilajiView attachment 2708394
Kweli aiseeeUnashauriwa uite uber/bolt/indrive or paisha baada ya kupata kilajiView attachment 2708394
....hapo umeshakunywa na shots mbili tatu za Don patron straight. Afu pembeni unamskiliza babaake Banana Zoro akiimba kopi za Tracy ChapmanWaliobahatika kuishi Germany [emoji629] huyu ndio anakunywa kiwango kidogo [emoji1787]View attachment 2708397
Maisha ni kufurahi mpwa, lager inashuka taratiiiiibu....hapo umeshakunywa na shots mbili tatu za Don patron straight. Afu pembeni unamskiliza babaake Banana Zoro akiimba kopi za Tracy Chapman
Daah sijanywa beer nina miezi sijui ndio nataka kuokokaVile Shunie koo linamkereketaView attachment 2708400