Makapuku Forum


Wacha nimwite hapa amuone...Wife amaizing njoo sebuleni hapa usalie wageni...
Napenda sana nguo za kiafrika j umapili siku moja moja natupia ......nimegundua hata nyie wanaume mnapenda African culture siku nikilipuka hivyo weeee nitafotolewa kila saa na kanisani tutaenda wote siku hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na ndiyo maana nilimuoa amaizing kwa ajili hiyo hakika inapendeza na ni mabinti wachache sana sasa hivi utakao wakuta wakipiga hivyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…