Si ndio huyu amecheza ile movie ya avatar?Nashukuru sana. Huyu Dada anajua kuigiza sana. Kuna movie sikumbuki jina vizuri ila ni nzuri. Los Angeles inavamiwa kama na mapredator yeye ameigiza kama mwanajeshi
Sina kibamiaTutakuchungulia[emoji85]
Ngoja nijaribu kutafuta jina lake nitakwambia dadaHiyo movie unayoisema ndo ilinifanya nianze kumpenda .
Poa mwayegoPoa kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] si tunajuaje?Sina kibamia
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
......
Huyo huyo uko sahihi. Helicopter yake italipukaSi ndio huyu amecheza ile movie ya avatar?
Ntaitafuta mkuu, najua lazima kuna umafioso kidogo humu [emoji4][emoji4]Teenagers wa New Jersey kazi yao kubwa kuiba magari ya Watu mtaani na kufanya fujo. Sasa kuna askari mzungu anawafatilia. Daily wanakamatwa ila hawakomi. Wengine wanauliwa kabisa.
Yuko vizuri sana huyo dadaHuyo huyo uko sahihi. Helicopter yake italipuka
Sema ya kitambo. Halafu nipe mrejeshoNtaitafuta mkuu, najua lazima kuna umafioso kidogo humu [emoji4][emoji4]
Dada nashukuru kwa taarifa hii..Upo poa wewe?Pia Maite ni mwanamuziki mkubwa tu huko kwao ila anaimba kispanish
Mi vitenge vya congoOK
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Boxer tu
.......
Mbona unajihamiiiii[emoji23] [emoji23]Sina kibamia
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
......
Nimekusoma mkuu...Hapo sawa. Yule wa fast and furious anaitwa Michelle Rodriguez
Napenda uigizaji wake huyu Dada. Yupo seriousYuko vizuri sana huyo dada
Basi sawaaaPoa mwayego
Asante sana kakaNgoja nijaribu kutafuta jina lake nitakwambia dada
Aweke picha[emoji23] [emoji23] [emoji23] si tunajuaje?
Kwema lakini brotherNimekusoma mkuu...
Sana aiseeNapenda uigizaji wake huyu Dada. Yupo serious