GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,094
- 16,451
Hahaha.Na mm niite basi Hilo jina jaman
Mbona mnatunyanyasa sisi CHAPUTA
Yaaani Auntie..Auntie umezurura mpaka hujui ni uzi gani unasemewa
Nacheka mimiHahaha.
Kuitwa hivyo kufanya jana nimelala usingizi mnono.
Yaaani Auntie..
Hata sielewi...
Hebu ngoja aje aniambie..
Usinishindwe kirahisi namna hii Auntie...
Uzi wa kile kizungu chako cha mchongo🤣🤣🤣
Nimeharibu na nini tena jamani?
Katoka kwa ras simba basi anasumbua kweli🤣🤣🤣haujataka uko kumjazia watu
Paja kama paja🙈🙈ZINCHENKO ARUDI
.
Arsenal imepata mzuka zaidi kwenye vita yao ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu baada ya kurejea mazoezini kwa staa wao Oleksandr Zinchenko.
.
Beki huyo wa kushoto alikosa mechi ya sare ya 2-2 dhidi ya West Ham United wikiendi iliyopita kutokana na kuwa majeruhi ambapo alichezeshwa Kieran Tierney.
.
Sasa mkali huyo anaonekana kuwa amepona maumivu yake ya misuli aliyoyapta kwenye mechi dhidi ya Liverpool wiki mbili zilizopita na anatazamiwa kuwa fiti kwa ajili ya mechi ya Southampton itakayopigwa leo Ijumaa.View attachment 2595105
Kwahiyo auntie umelitamani si etiiPaja kama paja