Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Hahaha na mie nta enjoy keshoMla mla leo!
Hahaha na mie nta enjoy keshoMla mla leo!
FC Waterwater haiaminiki..kesho tu inashuka darajaMajimaji fc
Wana lizombe tunakaza weweFC Waterwater haiaminiki..kesho tu inashuka daraja
![]()
![]()
![]()
........
Yule mliokuwa mnamtukana ndiye meneja wenu leoHahaha na mie nta enjoy kesho

Marhaba mkuu.Shkamoo Sumbai
Hawa watoto msimu uliopita walipaswa kufanya ya Leicester....halafu nyie yanga mkaja kuibomoa kwa kumchukua kocha wao!!!
Ndo football Papa anameza dagaaHawa watoto msimu uliopita walipaswa kufanya ya Leicester....halafu nyie yanga mkaja kuibomoa kwa kumchukua kocha wao!!!
Mkuu hujambo....kwenu huko kuna sukari???Nawapenda wote wana HII FORUM jamani, dada lizziebettie habari za muamko?
Yule mliokuwa mnamtukana ndiye meneja wenu leo![]()
Me sukari ninayo nauzia ke tu tena kwa bei elekezi!!!....come to my home place aloneMkuu hujambo....kwenu huko kuna sukari???

Mtapaki basi???Hahaha
Kwa kweli nlijuwa simpendi enz hzo, ila kwa sasa nna mkubaliii aje ajee tuuu
Ndo mana yake, mambo ya ajti football hautufungi ki easyMtapaki basi???
Mnamuuza nani???Ndo mana yake, mambo ya ajti football hautufungi ki easy
Mmmh sijajua ila mata nadhan ndo atakuwa wa kwanza kuepaMnamuuza nani???
Muuzeni di Hea na MashialMmmh sijajua ila mata nadhan ndo atakuwa wa kwanza kuepa
