Makapuku Forum

Thank Shunie
Sisi wengine tunakuwa kwenye mizunguko mingi na tunapitwa na baadhi ya habari ambazo hazipewi head line sana ila ni za muhimu sana , bahati nzuri kwenye huu uzi tunakutana nazo zikiwa kamilifu.
Binafsi nashukuru.
 
Check curl ilivyo tamu haina gharama haina mambo mengi mtu ambaye upo busy ndio inafaa sana mafuta yako tu biashara imeisha steaming unafanyia nyumbani tena ukitaka na kuritach baada ya miezi 3 au minne elfu 30 mpaka 25View attachment 2545837
Naipata pata kwa mbali 😁
Mamaa alikuwa akiweza zamani zamani kdg.
Zinapendeza.

Me zangu zina dawa
Curly asilani abadani.. sithubutu
 
Naipata pata kwa mbali

Mamaa alikuwa akiweza zamani zamani kdg.
Zinapendeza.

Me zangu zina dawa
Curly asilani abadani.. sithubutu
View attachment 2545877
Zimependeza kama mrembo mwenyewe ulivyo tena wave na curl vitu viwili tofauti usithubutu sasa nataka nikapunguze ziwe fupi kama zako niweke blond niritach tena yaani kama najiona hahhahaha
 
Zimependeza kama mrembo mwenyewe ulivyo tena wave na curl vitu viwili tofauti usithubutu sasa nataka nikapunguze ziwe fupi kama zako niweke blond niritach tena yaani kama najiona hahhahaha
Blonde kibongo bongo wanawekaje?
Kuna mtu ashawahi niambia nikaweke ila sikufanikiwa

Usisahau kapicha ka kuniinspire nijaribu 😂
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…