Farhan Jr
INTRODUCTION TO TRIPLE C! WHAT IS CCC?
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA)
Advance Certificate of Secondary Education Examimation (ACSSE)
EXAM: GENERAL STUDIES (GS)
1. What is CCC?
- Ni jina la Mwanasoka bora wa muda wote kuwahi kutokea Tanzania kwa maili nyingi mbali, CCC ni kifupisho cha maneno matatu ya Kiingereza ama Lugha ya Malkia.
C- FOR CLASS, hili ni darasa huru la mpira Tanzania kazi yake ni kuelekeza kwa vitendo nini maana ya Kiungo wa mpira, nini maana ya kucheza soka kwa ajili ya furaha ya Binadamu wa dunia ya tatu ambapo hatuna furaha sana.
Darasa hili linataka uwe na viatu vya mpira, ukae mbele ya TV ulipe 500 yako mbele ya visimbuzi vya AZAM au decorder za DSTV! Piga kelele wakati anafundisha kwakuwa darasa hili halina Monitor.
C FOR CLASS, wana msemo maarufu kuwa “Form is temporary but Class is permanent” wamesahau maneno na hawatukuzi ishara! Assists 14 kwenye ligi kuu na mabao kwenye Champions League! Hawasemi hawoangei na wala hawatikisiki.
This is Clatous Chama na ndie muda wote anaamua yeye kwa ajili ya wote, Football vitamin hii wala haina mipaka, Simba walimleta kwa ajili ya Watanzania wote.
C FOR CHAMBUZI, karibu Tanzania! Karibu kwenye nchi ya Uchambuzi, wakisema yupo slow anawakumbusha hata Kinyonga anaishi dunia hii hii ya kukimbizana, as simple as you like! Anadhihirisha ukuu wa Mungu alivyotuumba watu wake kila Mtu na kitu chake.
Chama hafai kwenye mpira wa kisasa? Rejea clip ya bao la jana! Chama hafit kwenye mfumo wa Mwalimu? Well Mwalimu yupo kwenye mfumo wake sasa na anampeleka hatua za mtoano, chukua hii!
This is CLATOUS CHOTA CHAMA, the Greatest is, the greatest was, the Greatest will ever be! THE GREATEST EVER TO DO IT, mkitaka namba tunawapa na mkitaka burudani tunawapa! Anything else?[emoji3]
Mchezaji bora wa muda wote by miles away, this case is closed you know! Hivi vitu ni gharama sana you know!
Photo [emoji991] @rabbihume