[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]...belated birthday wishes. I know you had tons of them (wishes) yesterday and guess who is thinking of you today? yeah, u guessed it right, me, that's who. Let Love Be U.
In case anko Lee anashangaa, atakujalisha kila wakati mimi ni wa mwisho kujua, and am not out of touch, sinaga tu bahati ya kujulishwa
Ahsante Pendaeli..Birthday njema kwake, ikiwezekana hata watoto wa wajukuu wake awaone akiwa na amani .
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]Nilimpa shunie
Auntie niache nimekwambia nakaa kimya tu kwa huyo mkaka[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
....kama nachokihisi ndicho basi sitakubari kiuurahisi aunt kaa unalijua hili. Usiseme sijakuambiaAuntie niache nimekwambia nakaa kimya tu kwa huyo mkaka
...salama kabisa mdau Shedy (kwa sauti ya Husna).Habari za jioni kapukuz
Hahahaha jmnii hivi yupo uyo dada?...salama kabisa mdau Shedy (kwa sauti ya Husna).
Furahiday imekaribia
Yupo sana kwenye majukwaa mengine naamini.Hahahaha jmnii hivi yupo uyo dada?
Daah aje jamnii naikumbuka tattoo ya jina langu aliyowahi kuichora kiganjani mwake.Yupo sana kwenye majukwaa mengine naamini.
[emoji3][emoji3][emoji3]bievinii habari za leo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Anko lee alikua na chombo yake shunieLOL. Mlikuwa wa moto sana kabla anko Lee hajaingilia kati ikabidi ukimbie tu kwenda Sumbawanga.
Nimecheka binamu....kama nachokihisi ndicho basi sitakubari kiuurahisi aunt kaa unalijua hili. Usiseme sijakuambia
Enzi hizoooo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Anko lee alikua na chombo yake shunie
Salama za weweHabari za asubuhi wanajukwaa
Oooh ilikuaje jmn mbn mlikua mnapendezanaEnzi hizoooo