HatimaeKocha Meck Maxime amechaguliwa kuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)
View attachment 2339277
Msimu huu hakuna siendi uwanjani wala kununua jezi make tunachangia mapato ya club wanafanya uhuni kwenye sajili
Azam wamechelewa kufanya maamuzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata sijui nacheka niniMsimu huu hakuna siendi uwanjani wala kununua jezi make tunachangia mapato ya club wanafanya uhuni kwenye sajili
Na simba jeeeAzam wamechelewa kufanya maamuzi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Msimu huu hakuna siendi uwanjani wala kununua jezi make tunachangia mapato ya club wanafanya uhuni kwenye sajili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata sijui nacheka nini
Kuna thread uko ya wadada wanaoweka bleach ebu ukujeee[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna thread uko ya wadada wanaoweka bleach ebu ukujeee
Eenh auntie nilikutag[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanataka nini? Na maisha ni yetu[emoji3]
Umenitag Auntie?
Hatujambo we mzee habari yakoNawasalimu ndugu zangu wa mtaa huu
Haleluya Bwana asifiwe!Nawasalimu ndugu zangu wa mtaa huu
shangazi mimi mzima kbs.hofu yangu kwenu ndugu zanguHatujambo we mzee habari yako
amenHaleluya Bwana asifiwe!
AmenHaleluya Bwana asifiwe!
Kwema mzee mwenzangu za masiku?shangazi mimi mzima kbs.hofu yangu kwenu ndugu zangu
kwema kabisa mkuu,mambo vp ?Kwema mzee mwenzangu za masiku?