Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuendelee kumwagilia moyo auntie, angalau huo tutakwenda nao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwakweli acha niishie tu nilipofikia ujue kuna mda unakuwa kama chizi yaani kila hela ukipata unaipeleka site halafu mwisho wa siku unakufwa wanagawana ndugu vitu vyako we unaoza tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Niko hapa Obe....

Wewe endelea kuzisaka hizo Mula tuje tuzitumie...
 
.....mobitel walinipa meseji nyingi kuliko mahitaji yangu.
Sababu mimi nikiandika na kulitakia penzi jipya siku njema sijui tena niandike nini!?
Hapa nasubiri muda ufike niandike good morning
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…