Makapuku Forum

...si bora niende tu nikakae kijiji cha karibu au nifanye camping kabisa (ninaandika tu sababu hiyo bei sijaandikiwa mimi, kuna wahusika waliondikiwa hiyo bei)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu usivyoweza wewe hata mimi siweziiii
...ila aunt unakumbuka safari yangu ya kuja Dar, nije kuona daraja la Tanzanite nipige na picha!? Nilishindwa na sasa najichanga niongeze kidogo ili niende hapo mlimani, si wamesema 950 tu, yaani nikiwa na buku wananirudishia fifte. Hapa namsneak in Makiwendo kwa ajili ya kuutazama mlima hadi kileleni
 
Ankoo hili penzi jipya linakaba ata sms za songesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Good morning good peeps na kama ilivyo ada baada ya kusalimia kizungu tunarudi kwenye lugha adhimu inayoelekea vizuri pale ukianza kumpiga majungu bosi eneo la kibarua, na siku inakuwa nzuri pale unapogundua kuwa kwenye mwendo kasi tiketi imeandikwa saa
 
Ankoo ....naomba kile vitz chako huku mama auanipiga wa kutosha ...
 
Ankoo hili penzi jipya linakaba ata sms za songesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.....mobitel walinipa meseji nyingi kuliko mahitaji yangu.
Sababu mimi nikiandika na kulitakia penzi jipya siku njema sijui tena niandike nini!?
Hapa nasubiri muda ufike niandike good morning
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…