Makapuku Forum

“Nikupongeze sana Kaka, hongera kwa kila kitu kwakuwa wewe ni binadamu mwema sana, mpira wa miguu hatuchezi kushinda tu bali kuweka heshima mioyoni mwa watu” Dani Alves, ujumbe wake kwa Sadio Mane baada ya tuzo
 
“Kuanzia sasa timu ya Wanawake watalipwa sawa na timu ya Wanaume kwenye ngazi zote za timu za taifa” Danny Jordan, Mwenyekiti wa chama cha soka Afrika Kusini
 
“Nachukia sana mpira wa kisasa, ufundi ni mdogo sana na kila kitu kwasasa ni kasi na nguvu, mpira wa kisasa hatoi nafasi ya kuonesha ufundi” Thiago Alcantara

Kiungo anataka kampa kampa tena[emoji3]
 
[emoji599]| Barcelona wamefanya mazungumzo ya moja kwa moja na mchezaji Jules Kounde huku tayari wamekubaliana maslahi binafsi na mchezaji anaitaka Barcelona, inasemekana Chelsea wana dau kubwa zaidi ila Mchezaji huyo hayupo tayari kwenda London.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Oooh Lord!!
 
[emoji404] SAJILI ZA SIMBA
.
[emoji1268] Moses Phiri (Zanaco)
[emoji1241] Nassoro Kapama (Kagera Sugar)
[emoji1241] Habib Kyombo (Mbeya Kwanza)
[emoji1184] Victor Akpan (Coastal Union)
[emoji1110] Augustine Okrah (Bechem United)
[emoji1081] Mohammed Quattara (Al Hilal)
[emoji1184] Nelson Okwa (Rivers United)
[emoji1068] Cesar Manzoki (Vipers FC)
 
DAAH..!! Mwanetu Ronaldo Atletico Wamemkataa
.
Ndo hivyo, Rais wa Atletico Madrid amefunguka kuhusu uvumi wa Cristiano Ronaldo kutakiwa na klabu yake:
.
“Sijui ni nani aliyevumisha hizi habari kuhusu Cristiano Ronaldo kutakiwa na Atletico Madrid. Sio za kweli.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…