ππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sisi tushatoka huko si mlimchukua kwa mbwembwe auntie na bado tulieni dawa iwaingie
Tumpeleke wapi na Nyaa zake[emoji3]Mchukueni mtu wenu bwana we!!
Karibu Auntie...Asante auntie kwa kushukuru
Auntie Wachaaaaa!!!!Naaaam semaji letu linavyojua kutupa raha hana mda wa kugombana na mtu anacheka na kila mtu halafu nilisahau semaji lihandsome bwanaaa [emoji847]
Hii habari amefanya siku yangu imekuwa ya Huzuni...BREAKING: Watu 10 wamefariki asubuhi hii baada ya Basi dogo la Wanafunzi (Toyota Hiace T207 CTS) la Shule ya King David Mtwara kupata ajali maeneo ya Mikindani mkoani Mtwara.
Kamanda wa Polisi Mtwara Nicodemus Katembo βWanafunzi waliofariki ni wanane, Dereva mmoja na Mwangalizi mmoja, majeruhi ni 19β. RIP[emoji1545]View attachment 2304334
Mtafutieni tu pa kumuweka, hata kusimamia wapishi.Tumpeleke wapi na Nyaa zake[emoji3]
Wanja una kusudiiiπ€£π€£π€£[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Auntie nimecheka....
Sijui kwa nini kuna siku Wanja unakataa kabisa kukaa kwenye mstari...
Woiiiiii.....Mtafutieni tu pa kumuweka, hata kusimamia wapishi.
Acha tu[emoji1787][emoji1787]Wanja una kusudiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu hapendi mjueπ€£π€£Woiiiiii.....
Hata kwa nyongeza hatumhitaji....
Sasa kwa nini mlilichukua mngemuacha apambane tu na hali yake[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hilo jipu lenu mlililea nyie mjue!
Mbona nyaaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Tumpeleke wapi na Nyaa zake[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha tuenjoy auntieAuntie Wachaaaaa!!!!
Niseme nini tena?[emoji1787]
Acha auntie inasikitisha sanaaaHii habari amefanya siku yangu imekuwa ya Huzuni...
Rest well Watoto Wazuri...
Yaani sura inakuwa imechacha kila kitu kinagoma[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Auntie nimecheka....
Sijui kwa nini kuna siku Wanja unakataa kabisa kukaa kwenye mstari...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtafutieni tu pa kumuweka, hata kusimamia wapishi.
Lenu hiyo...Malizeni nalo....Mungu hapendi mjue[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona nyaaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]